Biashara ya muziki Tanzania imeendelea kupanuka kwa kiasi kikubwa, na wasanii wenye hits, majina, connection, bahati na sababu zingine wameendelea kuingiza fedha nyingi kutokana na muziki wao. Njia kubwa na za uhakika zinazowapatia mapato wasanii ni pamoja na malipo ya show, malipo ya ringtones, endorsements (mfano kuwa mabalozi wa brands mbalimbali na kufanya matangazo) na wengine kupata kipato kupitia biashara walizozianzisha.hii hapa ndio listy ya wasani waliongiza pesa nyingi
DIAMOND 1

ANACONDA 2

AY 3

4 DIMPOZI

5 MADEE

6 MWANA AF

cHEGE 9

PRO 9


temba wa 10

0 comments:
Post a Comment