This is default featured slide 1 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

Tuesday, 31 December 2013

WATANGAZAJI 10 BORA WA RADIO STATIONS 2013 NDO HAWA KWA MUJIBU WA MTANDAO WA BONGO123.COM

Hivi Karibuni Tulifanya Mazungumzo Na Watangazaji Wakongwe Watatu Nchini, Godwin Gondwe Aka Double G Ambaye Kwa Sasa Ni Lecturer Wa Chuo Kikuu Cha Tumaini Na Pia Msomaji Wa Habari Wa ITV Na Shughuli Zingine, Sosthenes Ambakisye Aka SOS B Ambaye Kwa Sasa Hayupo Tena Kwenye Utangazaji Na Basil Mbakile Ambaye Kwa Sasa Ni Mtangazaji/Reporter Wa Idhaa Ya Kiswahili Ya BBC. Wote Hawa Kwangu Ni Miongoni Mwa Watu Walionivutia Kwenye Kazi Ya Utangazaji...

Wednesday, 4 December 2013

Hot Newz Daily: TAZAMA PICHA HIZI ZITAKAZO KUSHANGAZA NA KUKUFURAH...

Hot Newz Daily: TAZAMA PICHA HIZI ZITAKAZO KUSHANGAZA NA KUKUFURAH...:  Photograph by CAROLYN KASTER (via  The Atlantic: In Focus...

: TAZAMA PICHA HIZI ZITAKAZO KUSHANGAZA NA KUKUFURAH...

Hot Newz Daily: TAZAMA PICHA HIZI ZITAKAZO KUSHANGAZA NA KUKUFURAH...:  Photograph by CAROLYN KASTER (via  The Atlantic: In Focus...

Tuesday, 1 October 2013

MAAJABU MTOTO WA MIAKA MIWILI ASHIKA MIMBA

Mtoto wa miaka miwili wa Huaxi nchini China, amefanyiwa upasuaji wa kujifungua baada ya madaktari kugundua kuwa alikuwa na mimba.Xiao Feng, alipelekwa hospitali baada ya tumbo lake kuwa kubwa kiasi ambacho alijikuta akishindwa kupumua. Alipolazwa, madaktari walichukua picha za x-rays na MRI ba kugundua kuwa Feng alikuwa amebaba mimba isiyokua na hivyo kuamua kumfanyia upasuaji. Waliiondoa mimba hiyo changa iliyokuwa na upana wa cm 20 na tayari...

Monday, 30 September 2013

TAARIFA INAYOSEMA HUENDA MAGAIDI WA WESTGATE WALITOROKEA NJIA YA MAJI TAKA CHINI YA JENGO HII HAPA

Wakati bado kuna maswali mengi kuhusu magaidi waliohusika na shambulio la Westgate kama kweli waliuawa kama isemavyo taarifa ya serikali ya Kenya, mtandao wa Mirror umetoa taarifa kuhusu tetesi za uwezekano wa magaidi hao kutorokea njia ya maji taka kutoka katika jengo hilo. Mtandao huo umedai kuwa baadhi ya magaidi walitoroka kupitia njia ya maji taka iliyoko chini ya jengo la Westgate inayoenda kutokea katika mto Nairobi. Kwa mujibu wa habari...

Sheikh Azzan: “Viongozi wawe waadilifu”

                                                                                                                               ...

Saturday, 28 September 2013

BongoClan™ : BREAKING NEWZ: SERIKALI YAYAFUNGIA MAGAZETI YA MWANANCHI NA MTANZANIA

TAMKO LA SERIKALI Serikali imeyafungia kutochapishwa Magazeti ya MWANANCHI na MTANZANIA kuanzia 27 Septemba,2013 kutokana na mwenendo wa magazeti hayo kuandika habari na makala za uchochezi na uhasama kwa nia ya kusababisha wananchi wakose imani kwa vyombo vya dola hivyo kuhatarisha amani na mshikamano ulipo nchini. Gazeti la MWANANCHI limefungiwa kutochapishwa kwa siku kumi na nne(14) kuanzia 27 Septemba,2013.Adhabu hii imetangazwa k... more...

BongoClan™ : TAZAMA PICHA YA SHOW YA DIAMOND ALIYOFANYA JANA ZANZIBAR JINSI ILIVYOJAZA

Haya ndiyo aliyoyasema Diamond Platnumz kwa fan wake wa Zanzibar Oooh Zanzibar, u got me speechless, I dont even know how to start thanking you, or show my appreciations for the love and support that You have for me..I'm OVER JOYED..surely! Truly! You guys are my no.1 fans... The love I have for you is beyond measure, beyond words that I can explain.. Out of this sphere!.. Zanzibar! I love you u guys very very very !!MUCH. Thank...

BongoClan™ : WASANII 10 WA BONGO FLAVA WALIOINGIZA PESA NYINGI ZAIDI 2013 KWA MUJIBU WA BONGO 5

Biashara ya muziki Tanzania imeendelea kupanuka kwa kiasi kikubwa, na wasanii wenye hits, majina, connection, bahati na sababu zingine wameendelea kuingiza fedha nyingi kutokana na muziki wao. Njia kubwa na za uhakika zinazowapatia mapato wasanii ni pamoja na malipo ya show, malipo ya ringtones, endorsements (mfano kuwa mabalozi wa brands mbalimbali na kufanya matangazo) na wengine kupata kipato kupitia biashara walizozianzisha.hii hapa ndio listy...

Sunday, 8 September 2013

...

yoooooo

...

Saturday, 7 September 2013

mzee duchi

oyoooooooooooooooooooooooooooo` ...

Thursday, 5 September 2013

duchi

...