
Hivi Karibuni Tulifanya Mazungumzo Na Watangazaji Wakongwe Watatu Nchini, Godwin Gondwe Aka Double G Ambaye Kwa Sasa Ni Lecturer Wa Chuo Kikuu Cha Tumaini Na Pia Msomaji Wa Habari Wa ITV Na Shughuli Zingine, Sosthenes Ambakisye Aka SOS B Ambaye Kwa Sasa Hayupo Tena Kwenye Utangazaji Na Basil Mbakile Ambaye Kwa Sasa Ni Mtangazaji/Reporter Wa Idhaa Ya Kiswahili Ya BBC. Wote Hawa Kwangu Ni Miongoni Mwa Watu Walionivutia Kwenye Kazi Ya Utangazaji...